Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana.
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo.
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke...
Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi.
Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
Haya mambo msichukulie kirahisi.
Si mmeona chebukati hajasema eti wananchi wanataka maji na blah blah nyingine, si mmeona usalama wao wa taifa hawaingilii lolote kuanzia ngazi za chini hadi juu wao kazi ni kusimamia usalama tu.
Wale maafisa ukikutana nao peponi akina chebukati wala sio wa...
China imewawekea vikwazo maafisa hao ikiwemo marufuku ya kuingia China na maeneo ya Hong Kong na Macau, na kuzuiwa kufanya kazi na maafisa wa China, kwa madai ya kuunga mkono uhuru wa kisiwa hicho kinachojitawala.
Maafisa saba wanaolengwa na vikwazo hivyo ni pamoja na Bi-khim Hsiao, mwakilishi...
Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9
Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini...
Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na kuboresha Ufadhili wa Mfumo wa Elimu ya Juu nchini humo.
Wamedai kuwa Serikali imetelekeza Vyuo Vikuu vya...
Matapeli ya mtandao wamerejea.
Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh
Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to...
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini
Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na...
Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili...
TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh 50,000 ya kufuli na kuwapiga faini ya 50000, ya usumbufu, 50000 kupata TIN namba na Sh 50000 kwa ajili...
List of KIA/WIA/MIA Russian Officers
Killed list:
Lieutenant General Yakov Vladimirovich Rezantsev, Commander, 49th Combined Arms Army, Southern Military District (killed Mar 24)
Lieutenant General Andrey Nikolayevich Mordvichev, Commander, 8th Guards Combined Arms Army (Novocherkassk)...
Washiriki zaidi ya 300 kutoka mataifa tofauti ikiwemo Bara la Afrika, Ulaya, Amerika wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa kitaaluma 'APA TANZANIA 2022', utakaofanyika kuanzia Mei 23 hadi 27, Dar es Salaam.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari, juu ya utambulisho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.