Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao.
Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2023 katika mkutano wa faragha kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu...