KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
Mwanamuziki nyota wa Uganda Jose Chameleone ametoa maagizo ya wazi jinsi atakavyozikwa kifo kitakapomjia.
Chameleone haogopi kifo hata kidogo, ikiwa kuna chochote, angependa kufaidika na kifo chake.
Wakati wa mahojiano na NBS, Chameleone alisema meneja wake anajua ni ibada gani angependa kwa...
Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali.
Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine.
Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na...
Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu.
Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa?
Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana.
Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza ajira na kukuza uchumi kwa watu wetu.
Asia na Ulaya walishaanza mbinu hizo muda mrefu kwani...
Habari ya uzima wanajamvi?
Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini.
Huku niliko hakuna Benki...
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya...
Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa...
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
Ndalichako...
antony mtaka
elimu
kufanya
kupinga
kuvunja
maagizo
magufuli
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nchini
ndalichako
nguvu
profesa
sera
sheria
wanafunzi
wapi
watanzania
waziri
waziri wa elimu
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo...
Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba kwa wananchi.
Kwa mfano, leo Mama kaagiza Benki Kuu kuhakikisha mabenki yanashusha riba kufika chini...
Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.
Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE
Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi wametozwa hela zaidi(mara mbili zaidi) kinyume na maagizo ya serikali.
Ulitoa tamko kali, kuwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.