maalim seif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Pre GE2025 Hakuna jambo analolifanya Tundu Lissu ambalo Maalim Seif Shariff Hamad hakulifanya katika kusaka Dola na hakufanikiwa

    Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati, mpango, mbinu ambazo Maalim hakuzitumia. Kwa mfano Leo Tundu Lissu anasema No reforms no...
  2. M

    Mbowe kama Mandela, Maalim Seif na Mwalimu Nyerere

    Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif... Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza mazungumzo ya faragha ya kusaka maridhiano na serikali ya makaburu wakati akiwa jela, wenzake ndani...
  3. Megalodon

    CHADEMA msigeuke kuwa Maalim Seif wa Tanganyika, CCM na Serikali yake haitoacha udhalimu. Simamieni misingi yenu

    Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini? Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea? CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia...
  4. Mohamed Said

    Maalim Seif, Maalim Seif, Maalim Seif

    "MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF" Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi na kuashiria mengi. Dunia ilikuwa inashuhudia upeo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa Maalim Seif...
  5. chiembe

    Pre GE2025 Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa. Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu. Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
  6. Erythrocyte

    Baba Askofu Mwamakula awasha moto kwenye Kongamano la miaka mitatu ya Maalim Seif

    Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
  7. Roving Journalist

    Mkutano wa 3 kuenzi Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, Novemba 26, 2023 - Zanzibar

    Taasisi ya Maalim Seif Foundation ikishirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation imeratibu Mkutano wa Tatu wa Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad unaofanyika kwa siku mbili tarehe 25 - 26 Novemba, 2023 katika Hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar. Kiongozi wa Chama cha...
  8. Jamhuri ya Zanzibar

    Maalim Seif hakuacha wosia kuhusu mrithi wake

    Katika muktadha wa historia ya Zanzibar kuna wanaoamini kuwa hata Marehemu Mzee Karume mwenyewe alijutia yale maamuzi yake ya kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na ukweli kwamba mambo yalikwenda kinyume na matarajio yake. Viongozi wakubwa wa...
  9. J

    Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

    Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana. Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi. Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM. Maalim Seif kule ACT Wazalendo. Chama pale Simba SC. Mbowe hapo Chadema nk.
  10. Mohamed Said

    Uzinduzi wa Jengo la Maalim Seif: Alberto na Jabir - Kalamu Zinazosema na Kuandika

    Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma. Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
  11. Shadow7

    Zitto Kabwe: Natamani Maalim Seif angekuwepo

    “Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” - @zittokabwe , Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
  12. Mohamed Said

    Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya ACT Wazalendo

    Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo. Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika. Lakini tabu...
  13. B

    Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

    Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
  14. 5

    What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA. Wananchi tupate picha...
  15. ACT Wazalendo

    Zitto: Ahsante Maalim kwa maisha yako

    "Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim." Kiongozi wa...
  16. Mohamed Said

    Ukweli na Uaminifu wa Maalim Seif

    MOHAMED GHASSANI AMEZUNGUMZA UKWELI NA UAMINIFU WA MAALIM Nami naweka ushahidi wangu wa mapenzi waliyokuwa nayo watu Visiwani na Bara kwa Maalim. Bahati mbaya sana mimi Allah hakunijaalia kipaji cha utunzi wa mashairi wala sauti ya kuyasoma mashairi asomavyo yeye. Hatuchoki kumsikiliza, ''The...
  17. Mohamed Said

    Siku ya Maalim Seif, nyongeza yangu kwa Mohamed Ghassani

    Somo yangu Mohammed Ghassani kaandika anasema, ''Japokuwa aliondoka duniani akiwa hajawahi kuwa rais wa serikali, hilo halikumnyima nafasi yake ya kuwa baba wa utaifa wa Zanzibar - alama kamili ya Uzanzibari na shujaa wa Wazanzibari.'' Ningependa nami niongeze kitu kidogo katika hayo maneno...
  18. Mohamed Said

    Maalim Seif na mimi

    MAALIM SEIF NA MIMI Nakumbuka kama jana vile siku niliyokutana na Maalim Seif kwa mara ya kwanza uso kwa uso Starlight Hotel mwaka wa 1992 na aliyenijulisha kwake alikuwa Sheikh Khalifa Hamisi. Siku zile Sheikh Khalifa alikuwa anaendesha gazeti la Mizani na mimi nikiwa mmoja wa waandishi wake...
  19. BAK

    Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  20. Heater

    Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
Back
Top Bottom