Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.
Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo...
IJUE HISTORIA FUPI YA MAALIF SEIF AMBAYE TUNAMLILIA LEO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi ameitangazia dunia kuwa mependwa wetu na mwanasiasa wa muda mrefu ambaye alikuwa makamu wa kwanza wa Rais Mhe.Seif amefariki dunia. Seif amefariki dunia akiwa...
Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini?
Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je...
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki.
Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk.
Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Seif Sharif Hamad amesema misimamo ya vyama vya siasa isitumike kusababisha mifarakano na kuwagawa wananchi wa Zanzibar.
Amesema jamii nyingi zimefarakana na kutengana kwa sababu ya misimamo ya kisiasa na amewataka wananchi wabadilike na waendane na kasi ya...
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?
Niliwaza sana, nikamlinganisha kitendo hicho na say, Museveni kukutana na Bobi Wine, his main rival au enzi hizo PW Botha kukutana na Mandela kwa faragha. Watu wasingelielewa.
Kumbe usaliti wa Maalim...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa.
Akizungumza kutokea...
Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea).
Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano.
Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana amesema, mivutano ya kisiasa imekuwa ikiathiri ustawi wa Zanzibar.
“Sisi sote tuna maslahi mapana na...
Mabibi na mabwana si busara sana kuukimbia ukweli. Ukweli ni mchungu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kumekuwa na mengi kuhusu ACT na Maalim Seif hasa baada ya kujiunga SUK.
Ufuatao ndiyo ulio ukweli kuhusiana na jembe hili la Zanzibar.
Maalim Seif kaipigania...
Msikilize mwenyewe
===
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar (SUK) usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwa wananchi.
Unguja. Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif...
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.
Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya.
Nadhani hizi zitakuwa...
Mwaka 1988 Maalim Seif alifukuzwa CCM kutokana na mgogoro ndani ya chama.
Kwa kipindi cha miaka 26 Maalim Seif Hamadi amepambana bila kuchoka, amechochea mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Maalim amepambana na vigogo wakubwa kwenye chaguzi za kisiasa tangu mwaka 1995 na kuwatoa jasho kweli...
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.
Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.
Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio...
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa.
PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi.
Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Hafla ya kumuapisha Maalim Seif itafanyika Ikulu Zanzibar.
Rais Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.