Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza, atahakikisha wakulima wa viungo na karafuu wanakuwa huru kuuza mazao yao sehemu yoyote wanayotaka duniani.
Maalim Seif aliyaeleza hayo katika Kijiji cha Konde, Wilaya...
TAKWIMU HAZIDANGANYI
Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na...
Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo, ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna...
Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar.
=====
ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
UPDATES:
Zanzibar 2020 - Maalim...
AGREEMENT & CONTRACT
Ushawahi kukutana au kufanya kazi na mtu akakwambia ikitokea ukaharibu basi na mimi nimeharibikiwa na tutaangamia wote.
Uchunguzi wa jambo lolote ni sanaa na sayansi kama utalifanya pasipo kuwa na majibu kichwani ila ukawa na maswali yasiyo na majibu utapata majibu ila...
Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za Tundu Lissu akiwa Zanzibar, yaani unaona kabisa madini aliyokuwa anamwaga Tundu Lissu, laiti kama ile platform angekuwa yupo bega kwa bega ana mnadi Maalim Seif kama mgombea wa CHADEMA Zanzibar, mambo yangekuwa tofauti sana.
Sio kwamba napuuza nguvu ya ACT...
Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mada inahusika.
Wakati akitaja majina ya wateule wa nafasi ya kugombea uwakilishi kwa Zanzibar, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Polepole alisikika akitumia neno Mzee yule akimlenga Maalim Seif eti kuacha kuwataja viongozi wao na kufika hatua ya kusema ni onyo la mwisho na vyenginevyo...
Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.
"Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka...
Maalim Seif ni Mtanzania, tena ni Mtanzania mzalendo kwelikweli!
Ni miongoni mwa watu ambao mwalimu Nyerere aliwaheshimu sana kutokana na misimamo thabiti na kipawa chake kikubwa sana cha akili.
Lakini ukiacha kuipenda Tanzania, Maalim anaipenda sana Zanzibar, nchi aliyozaliwa. Wazanzibar...
Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku.
Najua mlio wengi hamjapata nafasi ya kuwa pahala nilipo. Ninaiita nafasi kwa kuwa ninachokishuhudia hapa LIVE kimeniletea hisia za kimwili, kiakili na kisaikolojia ambazo huwezi kuzipata kwa namna yeyote ile hata kwa kutazama pichani huko kwenye...
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
Salaam kwenu wakuu,
Mimi sijihusishi na siasa za Tanzania kidhati ya moyo, nimekuwa ni mfuatiliaji tu wa namna mambo yanavyokwenda/yanavyoendeshwa ndani ya nchi yetu. Niliwahi kuwa mwanachama wa CUF Habari mwanzoni mwa miaka ya 2010 na kadi yangu nilipewa na Julius Mtatiro, hata hivyo nilihamia...
ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA.
Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.