Wanabodi, Salaam!
Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na makabila tofauti lkn bado tunatumia jukwaa hili kutoa ya akikini mwetu ili yasaidie kuijenga nchi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo.
Amejaribu alivyoweza kumvuta Maalim Seif karibu kwa lengo lakupunguza machungu lakini bado hajaondoa...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo.
Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga.
Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia...
Ndugu Maalim Seif,
Tumekusikia ukikiri kupokea barua toka Serikali ya Zanzibar( Rais wa Zanzibar) juu ya kushiriki kwenu ACT Wazalendo kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Ushauri wangu kwenu ACT Wazalendo na Maalim Seif
Kamwe msiingie kwenye huu mtego. Kwa sababu kwenye miaka yote...
Mzee wangu Seif Sharif Hamad Unahitaji kujua swali kwanza kabla ya kujaribu kujibu, maana ukisha jua swali linauliza nini basi utakua umepata nusu ya Jibu.
Vinginevyo kila siku tutakua tunakuoneni mkidhalilika ndani ya nchi yenu
Kumbuka mafundisho ya kiislamu yanayosema '' 'MTU MUUMIN HAWEZI...
Kwako ndugu Zitto
Kwako ndugu Maalim
Wazanzibari wameona!
Afrika imeona!
Dunia Imeona!
Dhulma ya kutisha waliyofanyiwa Wazanzibari, torture, mauaji, uporaji wa dhahiri haki ya wazanzibari kuchagua viongozi wao.
Halafu leo hii kwa sababu ya vyeovyeo na maslahi yatokanayo na vyeo hivyo nasikia...
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.
Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
Haya ni maoni yangu binafsi.
Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani.
Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
Hatimaye uchaguzi mkuu wa 2020 umekamilika na kutuletea matokeo ya kushangaza. Sio siri kuwa uchaguzi haukuwa huru, haukuwa wa haki wala haukuwa wa wazi. Ushahidi wa uhalifu uliofanywa dhidi ya Demokrasia ulikuwa mwingi na kila mahali. Hakika, watu wengi wameumizwa kwa yaliyofanyika.
Baada ya...
Uzi huu ni swali. Tuelimishane kwa tunaojua jibu la swali.
Viongozi wakuu SMZ wanaomaliza muda wao mwaka huu 2020 na wapya waliotangazwa kushinda kwenye uchaguzi uliomalizika visiwani Zanzibar yawapasa warudi nyuma kidogo, watafakari kwa kina na kujifunza kutokana na historia ya chaguzi za...
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
Waheshimiwa:-
Dkt. John Pombe Magufuli
Adv Tundu Antipas Lissu
Maalim Seif Sharif Hamadi
Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na
Wengine - Salaam za 28/10/2020!!!
Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya siku ya uchaguzi Oktoba 2020.
Maalim Seif amesema hayo leo Jumatatu tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu kura ya...
SALAMU ZA MGOMBEA URAIS NA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO KWA WANANCHI WA ZANZIBAR KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA TAREHE UCHAGUZI MKUU ULIOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 27 NA 28 OKTOBA 2020 KATIKA OFISI KUU YA CHAMA, VUGA , ZANZIBAR 26/10/2020
Ndugu Viongozi wa Chama,
Ndugu Waandishi...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.
Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja
Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.