maalim seif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba

    22 October 2020 Pemba, Zanzibar Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar...
  2. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

    Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Katika msafara wake Maalim Seif...
  3. J

    Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni. Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

    Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura. Lakini pamoja na hayo lazima nikiri kuwa chama kinachonivutia nchini kwa sera, kuzungumza masuala ya wananchi kwa hoja...
  5. TODAYS

    Zanzibar 2020 Kuna la kujifunza kwa kauli hii ngumu ya Maalim Seif kwa ZEC na NEC

    Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake. "siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie barabarani nyote mnajua, mwaka huu simzuii mtu, atakaye amua kufanya lolote, kutetea haki yake si mzuii...
  6. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  7. J

    Uchaguzi 2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

    Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu? Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif? Maendeleo hayana vyama!
  8. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

    Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
  9. ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Maalim Seif kuzungumza na vyombo vya habari kesho

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kesho Oktoba 20, 2020 atazungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini. Wapi: Ukumbi wa Ramada Hotel, jirani na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Posta Mpya, Dar es...
  10. B

    Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

    Viongozi wa kidini wa Kamati ya Amani Tanzania inayojumuisha viongozi wa kidini na madhehebu mbalimbali Tanzania waonana na Maalim Seif. Kiongozi wa ujumbe wa Kamati ya Amani alibainisha ni wao ndiyo walimuandikia barua kuomba waonane naye Maalim Seif na wakatoa shukurani kwa mgombea wa...
  11. Analogia Malenga

    Zanzibar 2020 Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye

    Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
  12. S

    Maalim Seif aahidi kuwalipa Wazanzibari wasio na ajira, asema ni jukumu la Serikali

    Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi wake, tokea wanazaliwa hadi wanaingia kaburini, Alitalia kwa kusema cheo ni dhamana na amana hivyo...
  13. S

    Mtu Mzima Dawa - Maalim Seif Sharif Hamad kuiponya Zanzibar na makovu ya CCM

    Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima kwa mtizamo wao hata Nyerere hafai ndipo Maria Nyerere alipowatemea mate na kuwapa neno lililowapa...
  14. Mathayo Fungo

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif Hamad unataka kutugawa Watanzania kwa faida ya nani?

    “Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar. Kauli hiyo ameitoa sambamba...
  15. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Pemba: Mkutano wa Maalim Seif viwanja vya Mapofu, Wingwi

    Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
  16. Q

    Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    “Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu. "Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi...
  17. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  18. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi

    MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Maalim Seif ambaye ni Mwenyekiti chama hicho ametoa kauli hiyo jana...
  19. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

    Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu. Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo. Pia tumeona Maalim SEIF Mwenyekiti wwa ACT wazalendo...
  20. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
Back
Top Bottom