Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023.
Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri...