Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4
“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
Niwaombe watanzania na wote wenye mapenzi mema na taifa letu kutoa mawazo yao ambayo yakitekelezwa au kuboreshwa yatasaidia:
Kuinua uchumi.
Kutengeneza ajira mpya.
Kukuza biashara.
Kuanzisha bishara.
Kuvutia wawekezaji.
Kuongeza ukusanyaji wa kodi/mapato.
Kuboresha miundombinu.
Mawazo sio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.
Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana.
Katika hiyo...
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.