maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. APPROXIMATELY

    Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

    Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
  2. Sky Eclat

    Tumbo la mwezi kwa vigoli (Dysmenorrhoea) iwe sababu maalum ya kukosa mahudhurio ya darasani siku mbili kwa mwezi

    Wanawake na mabinti wengi walipitia ama wanapitia maumivu ya tumbo la mwezi Dysmenorrhoea kila mwezi. Maumivu haya yana athiri uwezo wa mwili kisaikolojia, fizikia hata kujichanganya na wenzako inakuwa shida. Wengi hasa hupata maumivu haya siku moja au mbili ambazo wengine hutapika na tumbo...
  3. Replica

    Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania - ALAT

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center jijini Dodoma, tarehe 27 Septemba, 2021. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  5. Mchochezi

    Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
  6. J

    #COVID19 Watu Wenye mahitaji maalum wasaidie kupambana na Covid-19

    Covid-19 ni janga ambalo ni hatari kwa watu katika jamii, lakini ni hatari zaidi kwa watu wenye mahitaji maalumu kutokana na hali walizonazo kuwafanywa washinde kutekeleza mambo muhimu ili kuchukua tahadhari ya janga hili. Wataalamu wa afya wanashauri watu wa karibu na wenye uhitaji maalumu...
  7. FRANCIS DA DON

    Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  8. M

    Naishauri Serikali ije na Programu Maalum kwa Wanafunzi wanaomaliza Darasa la Saba Kipindi kirefu wakisubiria Matokeo yao

    Wanafunzi kumaliza Mitihani yao ya Darasa la Saba Mwezi Septemba na Kuwaacha tu wanarandaranda Mitaani hadi Mwezi Disemba majibu yao yakitoka ni Hatari mno Kwao. Nitoe Kongole kwa baadhi ya Shule ambazo zilishaiona hii Hatari na kwamba Wanafunzi wao wakimaliza tu Darasa la Saba kuna Program...
  9. Gordian Anduru

    Yanga ndiyo timu ya kwanza kuwa na jezi maalum za wanawake

  10. Dr. Zaganza

    Uzi Maalum wa Kubadilishana Materials ya Ujenzi, Kila mmoja ajenge

    Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
  11. Mohamed Said

    Kipindi maalumu kuhusu harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika

    KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tangayika kati ya 1954 - 1961. Mohamed Said ameeleza yale mengi ambayo wanahistoria...
  12. B

    Rais Samia, fedha za tozo ziundie chombo maalum cha kuendesha ujenzi -- achana na maono finyu ya wasaidizi wako

    Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana. Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
  13. M

    Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo? 2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi? 3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu...
  14. Nelly1

    Naomba kufahamu Hospitali maalum kwa ajili ya watoto

    Habari wataalam, Ni matumaini yangu kwamba weekend yenu inaenda poa. Naomba kufahamu kama kuna hospitali nyingine maalum kwa ajili ya watoto tofauti na ile ya Morocco kwa marehemu Dr Massawe au pale fire kwa Dr Ameer, Jijini Dar es salaam. Natanguliza shukrani za dhati.
  15. ommytk

    Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  16. MK254

    Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

    Lazima tuhakikishe watu wanaishi kwa amani kwenye nchi za maziwa makuu ....... Soldiers of the Quick Reaction Force(QRF) at the Embakasi Garrison on Monday, August 9. KENYA DEFENSE The Quick Reaction Force (QRF) unit of the Kenya Defence Forces (KDF) landed in the Democratic Republic of Congo...
  17. TIASSA

    Uzi maalum kwaajili ya picha za watu wanao fanana

    Peter Msechu aka Tumbo naona kama kafanana kidogo na Mheshimiwa Tundu Lissu
  18. J

    Ufunguzi wa Kikao Maalum cha viongozi wa Shirika la Posta Tanzania

    UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022 Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
  19. and 300

    Ushauri: Itengwe siku maalum ya chanjo kitaifa

    Katika kuhakikisha kila mwananchi anachanjwa inapaswa kutengwa siku maalum ya chanjo nchi nzima Kama ilivyo siku ya uchaguzi Mkuu
  20. D

    TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

    Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi. Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha. Taarifa za awali inasadikika kuwa...
Back
Top Bottom