maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

    Habari zenu? Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo. badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari, watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge...
  2. kethika

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha. Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri. Njoni mie mie nimeanzisha tu.
  3. Akilindogosana

    Uzi wa kubuni vyanzo vipya vya mapato visivyoumiza Watanzania

    Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe mjadala wa wazi mahali popote ili watu watoe mawazo ya kujenga nchi. Na sio kuleta kodi za kuumiza...
  4. Deejay nasmile

    Uzi maalum wa nyimbo kali/tamu/nzuri za guitar au piano tu

    Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo) Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo) 1. Mr flavour - I'm for real 2. Celine Dion - To love you more 3. Ferre Gola - Regard moi 4. Banana Zoro - Mapenzi...
  5. Q

    Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
  6. J

    #COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

    Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi. Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari. Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19. Nawasalimu kwa jina la...
  7. Baraka Mina

    Dkt. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum - Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Kikao hicho kilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Hussein Ali H...
  8. Jaluo_Nyeupe

    Uzi Maalum wa Jinsi ya Kutoa Huduma ya Kwanza kwa matatizo mbalimbali kabla ya kufika hospitali

    Habari zenu wana JF, Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka hospitali. Wakati mwingine mtu anaweza kupata tatizo litakalomfanya aweze kudumu kwa dakika chache tu bila...
  9. T

    Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  10. The Boss

    Hadi zianze kuvuja na video ndo tufute viti maalum bungeni?

    Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum .. Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni... Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'.. Wakati wa...
  11. Nduka Original

    Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  12. SN.BARRY

    Wabunge wa viti maalum kaeni kimya kuficha udhaifu wenu

    Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi. Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA...
  13. Analogia Malenga

    Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu na kukamata silaha moja bastola aina ya REVOLVER. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa inasema kuwa Mnamo tarehe 11/05/2021 majira ya saa tatu...
  14. K

    Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  15. Baraka Mina

    Matukio katika Picha: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM - Aprili 30, 2021

    Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
  16. S

    Hongera Asia Mayaga kwa kulisemea hili la ukaguzi wa udhalilishaji kwenye migodi ya madini

    Imeibuliwa hoja bungeni kwamba watu wanakaguliwa huko Mirerani kwa kuvuliwa nguo. Wanalundikwa kwenye chumba kimoja watu wa rika tofauti wakiwa wamevuliwa nguo eti kisa ni ukaguzi wa madini ya tanzanite. Akiongea kwa ukali na masikitiko mbunge wa viti Maalum Asia Mayaga amesema haivumiliki na...
  17. Petro E. Mselewa

    Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  18. Erythrocyte

    Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  19. Mtemi mpambalioto

    Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

    Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70. Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko. Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
  20. J

    Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

    Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
Back
Top Bottom