maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchakato hadhi Maalum kwa Diaspora kukamilika Mwaka 2024

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka 2024. Hayo yamesemwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na diaspora wa Tanzania nchini Uholanzi kwa heshima ya Waziri...
  2. Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  3. Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  4. Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

    Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki...
  5. Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
  6. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  7. Kipindi Maalum ITV vs Wenza wa Wastaafu

    Leo nimesikiliza kipindi maalum cha Ulelingombe Morogoro Nikaumia sana, na kuongeza chuki kwa CCM na tawala zote. 1. Wana hali ya hewa nzuri kwa Kilimo. 2. Maji kwa ajili ya umwagiliaji na kilimo. 3. Ardhi nzuri yenye rutuba sababu ya Kilimo. Shida yao: Hawana miundombinu Mbinu ya barabara...
  8. K

    Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  9. Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  10. Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  11. Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  12. S

    Uzi wa maalum magari mazuri yasiyopewa promo hapa Tanzania

    Kumekuwa na trends ya magari ya aina fulani kutamba katika kipindi fulani cha muda, ambalo kimsingi si jambo baya. Lakini hii inaweza kusababisha watu wengine kununua gari kwa kufuata mkumbo tu. Hivyo lengo la uzi huu ni kuorodhesha aina nyingine za magari mazuri ya yanayofaa katika mazingira ya...
  13. Nawashukuru CHADEMA kwa matendo yao ya kizalendo

    Nikiwa kama kijana mdogo mwenye umri wa miaka 38 na mwanachama hai wa CCM nimeona nitakuwa sio muungwana nisipochukua nafasi hii kuwashukuru CHADEMA hasa viongozi wao wakuu kwa matendo yao ya kizalendo. Ikumbukwe tangu kuanza kwa awamu hii ya 6, makada wengi wa CHADEMA hasa wale waandamizi...
  14. Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  15. Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Oktoba 14, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 14 Oktoba, 2023 Babati, Mkoani Manyara. https://www.youtube.com/live/KmuRAUC9pSQ?si=GqCzOhpasVu7Yf4w HOMILIA YA ANTHONY LAGWEN, ASKOFU...
  16. Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
  17. Naibu Waziri Kihenzile: TPA Tunahitaji Bandari Maalum ya Mifugo

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameielekeza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha inaanzisha bandari maalum kwa ajili ya mifugo kwenye maeneo kama vile Tanga, Pangani au katika maeneo ambayo itaona yanafaa. Akizungumza wakati wa ziara yake alipotembelea bandari ya Lindi...
  18. Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
  19. B

    Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na...
  20. Fao maalum la Mkupuo la NSSF (Special Lumpsum Benefit)

    Wanajamvi Habarini za wakati huu. Napenda kufahamishwa kwa ajili ya ufahamu wangu na wengineo. Je kama umefungua madai NSSF ya special lumpsum benefit na status ikawa Approved na pia ukiangalia kwenye member's portal kwenye account yangu naona salio ni Zero na contributions zero na number of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…