maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
  2. I

    Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia katika Baraza maalum la vyama vya siasa

    Mwanaharakati na Msomi maarufu nchini ameandika katika ukurasa wake wa mtandao: Tarehe 11.09.2023) niliangalia na kusikiliza kwa makini, huzuni, mshangao na masikitiko makubwa sana Marudio ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan akifungua Baraza Maalum la Vyama vya Siasa. 2) Kuna siku ntapenda...
  3. Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  4. Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Uchumi

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
  5. India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

    India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi. Pongezi kwa India na wanasayansi wake.... Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah.. Yoda dudus HIMARS T14 Armata Aleyn kp kipanya44 imhotep...
  6. Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  7. Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  8. Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  9. Kila mkoa kuwe na eneo maalum la walemavu

    Huwa napata uchungu sana pale nikiwa natembea bara barani halafu nakutana na mtu mwenye ulemavu akiwa na bakuli anaomba omba, Wazo langu kwakuwa sisi watanzania hatunaga baya pale tunapoona serikali inatoa msaada basi serikali itenge maeneo maalumu ya watu hawa na iwatengenezee miundombinu ya...
  10. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

    Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua...
  11. Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  12. Nimeambiwa jirani yetu yupo mbunge wa viti maalum anaishi hapo

    Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum. Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
  13. FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  14. I

    Maombi maalum ya kitaifa kwa ajili ya bandari

    Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na...
  15. Uzi maalum wa machimbo makali ya bei poa kwa ajili ya Honeymooners na wapenzi wanaohitaji faragha

    Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri. Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya...
  16. Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe, Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange...
  17. Watu 128 wanufaika na Huduma ya Kupunguza uzito uliopitiliza kwa kutumia Puto Maalum katika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum (intragastic balloon), ambapo huduma hiyo pamoja na kupunguza uzito imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuwawezesha wateja hao kutekeleza majukumu yao...
  18. Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  19. W

    Uzi maalum wa kuomba nyimbo zenye chorus zilizoimbwa na watoto!!

    Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi; 1. I'm a thug ya Trick Daddy 2. I can ya Nas 3. Fabulous ya Jaheim 4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina. Tafadhali tupieni nyingine..........
  20. SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…