Hii thread ni maalumu kwa ajili ya kutiana moyo kupeana ushauri mbalimbali wa kisaikolojia, sosholojia, falsafa nk. Una jambo lolote kutoka chanzo chochote la kutusaidia wana JF unakaribishwa.
Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu...
Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo DailyMail na Reuters zinaeleza kuwa Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya matibabu ya Moyo na Mionzi kutompa nafauu
Pelé mwenye miaka 82 alikimbizwa Hospitali Novemba 29, 2022 akisumbuliwa na uvimbe...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa.
Nami...
Naandika uzi huu kwa kumuunga mkono mtangazaji mkongwe (mstaafu) ndugu Leonard Mambo Mbotela aliyekuwa akitangazia Voice of Kenya (VoK) na baadaye Kenya Broadcasting Corporation (KBC) katika kipindi maarufu kilichovuma wakati huo kwa jina la “Je huu ni uungwana?” Katika kipindi hicho, Leonard...
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani. Viongozi ambao wapo hai au wametangulia mbele za haki.
Niwaombe wanajukwaa tufunguke yale mambo ambayo...
Habari za muda huu wana Jf .
Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi.
Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
Walikuwa sehemu ya Kikosi Maalumu cha Upelelezi ambacho kilivunjwa na Rais William Ruto kwa madai ya kutekeleza mauaji ya kiholela na kutoweka kwa washukiwa kwa miaka kadhaa.
Miongoni mwa wanaodaiwa kuwa waathirika ni raia wawili wa India waliotoweka mwezi Julai na mabaki yao kugunduliwa wiki...
Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha.
Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20.
Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
Habari za muda huu wana JF
Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia.
Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa.
Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa...
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il.
Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.