Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
Habari Mpendwa msomaji wa JamiiForums,
Leo nimeona nitoe uelewa wangu huu ili niwashirikishe jamii ya kitanzania, hasa wapenda maendeleo na wale wanao tamani kuiona Tanzania ikikua kiuchumi, kutoka hapa tulipo, yaani uchumi wa kati wa chini, Nakwenda uchumi wakati wa kati hadi wa juu.
Suala la...
Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania.
Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali.
Lakini kitu nilichoona...
Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro.
Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya...
Niwasalimu kwa jina la JMT.
Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake.
Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo.
Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
Rafiki yangu mpendwa,
Miaka elfu 5 iliyopita, binadamu aliyekuwa porini akiwinda au kukusanya chakula, aliposikia kishindo alianza kukimbia mara moja.
Hakusubiri aone kishindo hicho ni cha nini, hatua ya kwanza ilikuwa kukimbia ili kuokoa uhai.
Wakati mwingine kishindo kilikuwa ni cha hatari...
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO.
Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO.
Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake.
Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya ubaya uliokithirika.
Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.
Bwana Sabaya amelawiti mabinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono...
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu...
Amani iwe nawe Mama yetu!
Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi.
Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona.
Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF
Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF!
Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment!
Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa
Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa
Wapo wanandoa...
Binafsi huwa napatwa na mhaho sana pale ambapo nakua naangalia utendaji kazi wa baadhi ya mawaziri ambao wengine ni maprofesa kabisa lakini wao kama mawaziri sioni contribution yao moja kwa moja wanasubiri wadau walalamike moja kwa moja kwa Rais then yeye anafuatisha maagizo.
Je, Wao hawawezi...
Ndio Kama nilivyo Anza na kichwa Cha habari hapo juu.
Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk.
Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo ukitumia akili utapoteza muda wako na nguvu zako kusumbuka na jitu lisilo jitambua linataka nini...
Habari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.