Kama kichwa kinachojieleza hapo, hivi ni kwanini wazazi wetu hasa wa kiume (namaanisha wakina baba) kadri wanavyokuwa wakubwa wanakuwa kama hawashauriki, hasa pale wanapopewa mawazo na watoto wao ambao wamekuwa wakubwa na wanaoa uhalisia wa maisha na changamoto.
Wengi wao huhisi watoto...
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."
Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"
Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Chama cha Mapinduzi(CCM) ni kikongwe barani Afrika kikifuatia chama ANC Cha Afrika Kusini kwa umri, Sasa cha ajabu chama Kikongwe kinakosa demokrasia hata ya kuruhusu watu kujitokeza na kugombea urais ili wanachama wafanye maamuzi, kama mtu amefanya vizuri kwanini asishindanishwe na ambao...
Nilipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Choe Song ambae ni mtoto wa mtumishi wa serikali Chong Ryong-hae nae anafanya kazi ndani ya chumba hicho...
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
======...
Chama cha Democrasia na maendeleo kimeonyesha wazi kuwa hakifanyii kazi au tafiti maamuzi yake azi ifu ni chama kigeni hapa Tanzania, ni kama hakipendi kuumiza kichwa sina hakika huwa linakuwa wazo lamtu mmoja au vipi lakini siamini.
Tujaribu kuliangalia swala la kulokudauni au kufunga miji na...
Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia.
Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo...
Wakati wengi wakiamini kuwa Baba Mwenye Nyumba amekimbia makazi yake kutokana na hatari ya vile vijidudu,binafsi nimekuwa na mtazamo wa ziada kuwa mbali na hiyo kuweza kuwa ni moja ya sababu,lakini kitendo cha kukaa huko muda wote huu kwangu naanza kukiona kama ni dalili nyingine ya Baba huyu...
Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika.
—————
UPDATES
—————
Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Hi guys,
Mnawe kwa maji tiririka, mvae barakoa, mkunywe maji ya tangawizi na limao na mjifukize, narudia tena mpige nyungu..! (Msopenda thread ndefu sitotaka malalamiko, tafadhali beba tu huu ushauri na uende)
Enwei, kuna mpendwa wangu mmoja alikuwa ana date this gentleman for so long, lakini...
Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020
Amesema kuwa michezo yote iwe inachezwa bila mashabiki au na mashabiki haitaweza kuendela nchini humo kabla ya Septemba...
Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania.
Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).
Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba.
Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
Kilimo cha vanilla kinasemekana ni mkombozi mkubwa sana, imagine kilo moja inaweza kuuzwa 150,000/=
Mche mmoja tunaambiwa unavunwa kuanzia nusu kilo mpaka kilo 3
Kilimo hiki kinakubali sana mkoa wa Kagera lakini wizi wa mazao haya umekithiri pamoja na uvivu.
Niwaulize viongozi wetu hivi...
Ugonjwa wa Corona umeanza December 2019 katika mji wa Wuhan nchini China.Mpaka hivi sasa ugonjwa huu umeshasambaa kwa watu takribani 819,025 na kusababisha vifo vya watu wapatao 39,794 duniani kote akiwemo raia mmoja wa Tanzania.
Kusambaa kwa ugonjwa huu duniani kumeleta taharuki kubwa kwa...
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020
Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho.
Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
Naomba niandike kwa kifupi sana . Katika Nchi yeyote ya kidemokrasia vyombo vya kiuchunguzi wa jinai na utoaji haki hutakiwa kuwa huru na hivyo vionekane kutenda haki. Kwa siku za karibuni hapa kwetu kumekuwa na udhaifu na dosari kadhaa hivyo kupunguza kuaminika kwa vyombo hivyo.
Natoa...
Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.