maamuzi

  1. LIKUD

    TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

    Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia. " Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe" Incase...
  2. MamaSamia2025

    Uzi maalum wa kujipongeza kwa maamuzi kadhaa mazuri uliyowahi kufanya maishani.

    Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili TUJIKUMBUSHE maamuzi kadhaa mazuri tuliyowahi fanya na kutuletea matokeo mazuri. Inaweza saidia kuleta...
  3. L

    Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
  4. Dr Akili

    LGE2024 Jaji Warioba kabla kutoa hukumu yako hususani ya Uchaguzi wa S/Mitaa, uwe umsikiliza pande zote na ushahidi ulionao

    Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo. Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura...
  5. kavulata

    Pre GE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

    Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
  6. Bams

    Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

    Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
  7. K

    Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  8. G

    Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k, Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie. Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo nikitoa gharama...
  9. BigTall

    Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  10. Anonymous77

    Ushauri wa Vijana unatishia usalama wa maamuzi yako

    Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara waliopitia mengi na wenye matatizo mengi ndio wenye ushauri mzuri. Lakini vile vile nimekumbuka ile kauli ya...
  11. LA7

    Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  12. BigTall

    Wafanyabiashara waliopo Barabara ya Mpanda Hotel - Kigoma watengewe eneo la biashara, walipo sio salama kwao

    Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda Kigoma kwa kuwa ni hatari kwa usalama wao na wale wanaotumia Vyombo vya Moto Wananchi wa hapa...
  13. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  14. kwisha

    Unaweza kuchukuwa maamuzi gani kwenye situation kama hii

    Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya tendo la Ndoa na mke wangu nimejaribu kutafuta michepuko lakini wapi kila nikimuona tu natamani...
  15. Obugwa Izoba

    Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  16. GENTAMYCINE

    Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  17. R

    Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Unashiriki kufanya maamuzi kwenye masuala ya kisiasa au ni timu kulalamika tu kwenye kila kitu?

    Wakuu, Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye...
  19. Smt016

    Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  20. Oscar Wissa

    Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Back
Top Bottom