Nukta.
Licha ya kuonywa mara kadhaa,
Chuwa hakuwa msikivu.
Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe.
Siku moja,Chuwa alifanya yake tena.
Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha.
Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake.
Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa...