Wakuu mi huwa napenda kufatilia mambo ambayo hayafuatiliwi na watu wengine.
Hii jamii ya pygymies inayopatikana tanzania ni ipi?
Ndugu zangu waha mnisamehe nauliza tu maana waha wengi ni wafupi sana.
Ni kwa ajili ya kujifunza
Mfano jamii za pygmies kwene nchi mbalimbali
Rwanda na Burundu...
Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu
Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye...
Wakuu mpo!
Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus.
Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu.
Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa, mtu unatamani kusonya lakini ukweli ulio mbele yetu unakutia aibu.
Wakati mwingine unaposikia mtu...
Mara utasoma " The cute baby mama"
C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo
Mara "Juma aka Simba mkali"
C.E.O wa simba fanicha kunduchi"
Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita.
Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho.
Katika mahusiano, wapo watu...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...
Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni.
Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla.
Katika jamii za kale kuna tamaduni...
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu.
Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake.
Hakuna...
ALFU LELA ULELA, WILLIAM SHAKESPEARE NA IRVING WALLACE WANAPOJUMIKA PAMOJA KATIKA KITABU CHA TUNE SHAABAN SALIM ‘’POSA ZA MAANA’’
Juzi niliandika na kusema kuwa kitabu hiki kina mwendo mkali.
Kila ukifungua ukurasa mmoja ukurasa wa pili unakuita kwani akili yako inakuwa imetekwa unataka kujua...
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu...
Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana.
Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.