Nimezunguka kwenye mitandao mpaka mtaani mpaka kwa viongozi wa matawi wote wamejifichwa kwenye kivuli za Yanga sc inabebwa na ndiyo maana wamchukua kombe la Nbcpl.
kwani kilichowatoa kwenye kombe la FA kwa kipigo cha mkwaju ya penati huko kigoma napo Yanga walikuja kushiriki kuwatoa??
je...
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha .
Mfano
★Anaenda hana nguo za kumtosha
★Hana simu janja wala PC
★Anaenda hana fedha ya hakiba .
Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena.
Wale akina Kajuna ss...
Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo.
Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
Hapo vip!!
Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe.
Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap.
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika.
Au kuna siri gani na wanaume kwenye hii huduma?
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha
SWALI LANGU: ina maana mikataba...
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita. Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha.
Pamoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka nje ya nchi lakini zaidi ya watu milioni 4 wamekimbia nchi kwa kuvuka mto.
Ukraine imejaribu...
Habari JF,
Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini?
Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama.
Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku.
Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime.
Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania.
Hakuna chumba cha...
Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma, maana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala.
Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili twende tukahakikishe, tumefika tumemfunua mtoto kweli kakojoa.
Na akanambia mtoto akiwa amelala...
Maana ya Uhuru, huisha baada ya utambuzi,
Baada ya kutambua kuwa uhuru si maamuzi,
Maana kifungo na mipaka vinafanana,
Aliyekuambia kuna uhuru, Utaupata Kakudanganya.
Kuna asili inayofanya,Mwili wako mashine,
Kufanya ugongwa uwe jela,halafu afya ni jela nyingine,
Mjamaa amemwaga damu...
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania
ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power.
hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
Wasalaam.
Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi.
Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.