Inakuwa na mchanganyiko wa
Soseji
Mayai mawili ya kukaanga
Uyoga
Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips
Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi
Maharage yasiyokaangwa
steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana
Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
Hivi bodaboda wanapataje leseni, maana uendeshaji wao upo rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali.
Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara...
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....
Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
Wasalaaaaaam........
Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa.
Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.
Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa...
Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana.
Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki?
Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a...
Picha inasomeka na inaelezea
Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu.
Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake.
Monde...
Naulizia vitu hivi hapa wakuu;
1. Halmashauri ya wilaya
2. Halmashauri ya manispaa
3. Halmashauri ya mji
4. Halmashauri ya jiji
5. Maana ya 'halmashauri'
Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
Dar ndo mkoa wa kipekee unaishi na mtu nyumba moja ila mnakutana weekend tu maana kila mtu anatoka alfajiri anarudi usiku.
Ila mikoani huku unaishi na watu wanajua kila kitu kukuhusu mtaani kila kukikucha unakutana na maneno mapya mixer kusengenyana.inshort mikoani huku mitaani ni kama tuko...
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
Usihamaki. Huu ndiyo ukweli.
Kwani uhai unaanzia ngazi gani ya kibayolojia? Mayai ya mwanamke siyo kitu hai? Kama ni kitu hai kilichosanifiwa na mwenyezi Mungu wewe una mamlaka ya kukiua? Bila shaka jibu ni HAPANA. P2 inauwa mayai na mbegu za kiume ili vishindwe kurutubishana na kutoa...
Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya.
Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini.
Unawaambia watu huwezi kwenda...
Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali.
Mama anatoaga second chance.
Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori.
Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo!
Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.