GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.

Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.

Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.

Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.

Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.

Mtu wa hovyo sana
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Na wenye kusikia na wasikie huu ushauri mzuri. Na kuufanyia kazi
 
Yule mama ameongea maneno machache, ila yana ujumbe mzito sana kwa watekaji na wauaji wanaolindwa na hii serikali ya huyu mama. Na ikatokea wakampoteza moja kwa moja, huenda tutakuja kuona kitakacho tokea siku za baadaye.
Hakuna mnajimu wa mchawi ataruhusu dam ya huyo kijana imwagwe atakaye toa ilo wazo na likatekelezwa mtakuja kusimulia. Hakuna ataamini tusitafute kuona kile kitatokea tuache hili lipite tumesha shauri manabii
 
nimekumbuka uzi wako baada ya kuchapana
 
Mkuu nimeota the same thing asubuhi ya leo. Hi damu ya polepole italeta balaa na uasi zaidi haitaenda bure
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Damu ya Lumumba inavozidi tafuna taifa la Congo, mamlaka ziwe makin na damu wanazomwaga laana yake italitafuna Taifa letu daima litalaaniwa milele.
 
Back
Top Bottom