GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.

Mtu wa hovyo sana
Aliungama kwa makosa yote ALIWAHI kufanya. Na inawezekana hakuua, mikono ye HAINA damu..ila moyo kichaka. Ukweli wanajua wenyewe
 
Kuwasamehe watu kisa wameungama ni mtego mbaya. Watu wanafanya mambo machafu kila leo kwa kisingizio kuwa tutaungama!!
 
Polepole wamuachie aende zake bila masharti yoyote kwanza kulikuwa hakuna ulazima wa kumshikilia
Hapo ndio uone huyu mama hajielewi wala hana washauri wazuri. Na hao watoto na mkwe anaowasikiliza na kuendesha nchi ndio kabisaaa, hawana wanalojua.

Polepole alikuwa kashakosa wasikilizaji kwenye lives zake. Video ya mwisho, hakuna watu wengi waliokuwa na time nae. Kumkalia kimya /kumuignore, ilikuwa ni tactic kubwa sana na ilikuwa inawork kwa upande wao. Polepole tayari alikuwa hana jipya la kuongea, alinza kurudia rudia maneno, unaona kabisa kashaexhaust silaha (points) zake zote. Na somehow alikuwa anaona hafatiliziwi tena (pale mwishoni), ikawa kama inamuuma. Kumbe hii ilikuwa ni tactic nzuri tu ya kwenda nayo. Sasa wanaorun nchi kwa sasa wasivyo na busara wala akili, wamekalia visasi tuuuuu, still wakaona suluhisho ni kuteka na pengine kumuondoa kwenye uso wa dunia.

Nchi inaongozwa kwa emotions tuuuu, uswahili, ughetto, vijembe na visasi.!! Wametufikisha sehemu mbaya sana. Kama nchi hakuna aliyewahi kudhani tungefika huku. Tulikuwa proud sana na nchi yetu ila sasa yote yanaondoka. Ila kwa kudra za M/Mungu, tutatoka.
 
Wakiwa na akili timamu hawatomuua Hp labda kama hawafikirii mbele, anyway wakimuua who is next
 
Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.

Mtu wa hovyo sana
Hivi mkuu Kuna mtu Duniani unayemchukia zaidi ya Magufuli ?
 
Watu wanauwa as if na wao awatokufa mtihani sana, una enjoy vipi ukiwa umemwaga damu za watu kisa wamekukosoa?
 
Wakiwa na akili timamu hawatomuua Hp labda kama hawafikirii mbele, anyway wakimuua who is next
Screenshot_20251008-222518_cropped.png
 
Nchi imekuwa ya magaidi na makatili.

I am no longer proud of Tanzania.

Kama vipi kila mtu apewe chake ajiangalie aende wapi.

Kama ni hizo almasi na dhahabu tugawane pasu kwa pasu kila mtu asepe zake.

Haya mambo ya kutekana kama manyumbu NO WAY.

Hiyo sio nchi tunayoitaka.
 
Taifa haitateswa na damu ya slow slow, bali ya watu wasio na hatia ambao wengi wameshadhulumiwa.
 
Hii ndio habari inayoweza kuwa ya kweli kabisa. Sasa watacheza mchezo wa kuwafeed wanaharakati uchwara kuwa yupo sehemu, sijui anapelekwa Comoro! Hamna namna akawa hai mpaka sasa..

Ila huyu mama ajue tu kuwa hizi damu anazomwaga, atazilipia. Mungu yupo na ahadi zake zote ni za kweli. Kwa mtu dhalimu mwisho huwa ni mbaya. Wote wanaohusika na umwagaji damu na kuonea watu, hawataishia vizuri. Sisi wanadamu ni mashahidi wa wenyewe kwa wenyewe kwenye matendo yetu mbele za Mungu hiyo siku ya hukumu. Huyu mama na genge lake, tutawashuhudia haya yote. Waendelee kunogewa na madaraka kisha wateke, wauwe, wafanye ufisadi, etc. Sisi tumashuhuda wao.
 
Hapo ndio uone huyu mama hajielewi wala hana washauri wazuri. Na hao watoto na mkwe anaowasikiliza na kuendesha nchi ndio kabisaaa, hawana wanalojua.

Polepole alikuwa kashakosa wasikilizaji kwenye lives zake. Video ya mwisho, hakuna watu wengi waliokuwa na time nae. Kumkalia kimya /kumuignore, ilikuwa ni tactic kubwa sana na ilikuwa inawork kwa upande wao. Polepole tayari alikuwa hana jipya la kuongea, alinza kurudia rudia maneno, unaona kabisa kashaexhaust silaha (points) zake zote. Na somehow alikuwa anaona hafatiliziwi tena (pale mwishoni), ikawa kama inamuuma. Kumbe hii ilikuwa ni tactic nzuri tu ya kwenda nayo. Sasa wanaorun nchi kwa sasa wasivyo na busara wala akili, wamekalia visasi tuuuuu, still wakaona suluhisho ni kuteka na pengine kumuondoa kwenye uso wa dunia.

Nchi inaongozwa kwa emotions tuuuu, uswahili, ughetto, vijembe na visasi.!! Wametufikisha sehemu mbaya sana. Kama nchi hakuna aliyewahi kudhani tungefika huku. Tulikuwa proud sana na nchi yetu ila sasa yote yanaondoka. Ila kwa kudra za M/Mungu, tutatoka.
Wako sawa kwa action waliyochukua. Kama Polepole asingechukuliwa hatua basi mwingine angetokeza naye akaanza kubwabwaja.

Ukiwa mtu wa system unakula kiapo kutunza siri za system. Ukizimwaga tu nje system unaiacha uchi. Na system ikibaki uchi basi hatuna Tanzania tuipendayo.

Kwanini Snowden raia wa USA alikimbilia Russia? Na huku USA ndiyo nchi ya mfano kwa uhuru wa maoni na demokrasia?

Kwanini Julian Asange alishikiliwa kwenye rumande za UK zaidi ya miaka 10 baada ya WikiLeaks?

Kwanini Alexander Litvinenko alinywenshwa polonium na Serikali ya Russia?
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.

Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.

Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.

Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Wakati drone za wanamtandao na wanamtandao wanagonga mvinyo na chears za kutosha!
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.

Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.

Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.

Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Polepole hakua na ushawishi mkubwa hivyo wa kuliathiri taifa kwa yaliyomtokea,,,sio zaidi ya mwezi atasahaulika na habaria zake hazitakua na uzito kwenye mitandao.
 
Sawa tutamsahau. Je ardhi iliyomwagiwa damu yake nayo itamsahau??? Mimi na wewe tusipoongea mawe yaliyo juu ya ardhi yatamlilia na kulipa kisasi juu yake.
 
ni kweli,,,lakini ardhi na mawe unavyoviongelea unamaanisha fikra zake na mema yake aliyowatendea watanzania ndio watayakumbuka daima ambayo hayapo,, alichofanya yeye ni kueleza maovu yaliyokua yanatendeka serikalini ambayo na yeye alikua akiitumikia,,,na hayo aliyoyaeleza hayakua mapya,,,alieleza wizi wa kura, alizungumzia ukiukwaji wa haki za binadamu na utawala bora,,,haya yote yalikua ni kilio cha watanzania kwa miaka mingi kwenye serikali na chama ambacho na yeye alikuwa anakitumikia.

Mpambanaji ambae namkubali ni TAL, huyu hana kipengele mpaka sasa, amejitolea jasho na damu kuipambania nchi yake.
 
Back
Top Bottom