GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kila nikikumbuka ule usemi wa yule muhuni kwamba wazuri hawafi, moyo wangu unakufa ganzi.
 
Eti Eti Eti kuta za Siri za taifa hili zinaruhusu MTU kama Pole pole anapotea bila kujulikana alipo!!

Yaani pole pole na juhudi zake za kuwaunganisha watz katika kudai hakinndani ya chamanna serikali anavamiwa kama jambazi na kudhurika halafu eti nchi hii Ina usalama was taifa na majasusi wenye uwezo mkubwa Kwa mstakabali ujao!!

Kuruhusu Mateso Kwa kina pole pole ,Lisu na wengineo ni kuua DNA ya uongozi kwa taifa hili!!kwanini wasivumiliwe kama tunavyowavumilia mafisadi waliopo nchini!!?

Nimeumizwa sana na pole pole !ameniuma mno huyu jamaa!nilikua na ndoto za kufanya name kazi!!
 
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.

Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.

Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.

Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.

Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Bring back Polepole.
 
Eti Eti Eti kuta za Siri za taifa hili zinaruhusu MTU kama Pole pole anapotea bila kujulikana alipo!!

Yaani pole pole na juhudi zake za kuwaunganisha watz katika kudai hakinndani ya chamanna serikali anavamiwa kama jambazi na kudhurika halafu eti nchi hii Ina usalama was taifa na majasusi wenye uwezo mkubwa Kwa mstakabali ujao!!

Kuruhusu Mateso Kwa kina pole pole ,Lisu na wengineo ni kuua DNA ya uongozi kwa taifa hili!!kwanini wasivumiliwe kama tunavyowavumilia mafisadi waliopo nchini!!?

Nimeumizwa sana na pole pole !ameniuma mno huyu jamaa!nilikua na ndoto za kufanya name kazi!!
CCM ni wakatili sana.
 
Back
Top Bottom