kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.
Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula muziki taratibu huku nashushia na viporo vyangu vya nyagi zilizobaki nikasikia wife akiwa anaongea na dada wa kazi akisema kuwa "Jamani ndani kwangu sitaki watu walevi mimi".
Ikumbukwe hapa kwangu mpiga vyupa ni mimi tu, sasa hilo dongo ni direct lilitupwa kwangu.
Je wakuu huyu mwanamke ni anataka kunipanda kichwani au mdomo tu umemteleza?