Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

Umesema sahihi Mkuu

Binafsi yapo mengi ambayo Mke alikuwa hayataki nami nimeyaacha kabisa

Mfano alikuwa hataki niende kuangalia mpira baa ama kwenye mabanda umiza

Then nikafunga DStv na Azam Tv, ikitokea mechi ya mpira, then naangalizia nyumbani

Japo mwanzoni nilikuwa naona haunogi, baadaye nikazoea tu

Saivi hata awe amesafiri Mkoani, atanikuta nipo zangu home naangalia mechi zangu

Hataki nikienda Saloon wanifanyie scrub, badala yake amenunua mwenyewe vifaa vya scrub ananifanyia nyumbani 🤗

Kama ulivyosema, Ndoa ni masikilizano ya pande mbili

Kwanini upoteze amani ya nyumba yako Kwa kufanya mambo ambayo mwenza wako hayataki

Mkeo amesema hataki unywe pombe, then wewe unakunywa

Akikataa kukubusu ama akakataa kukupa mate, utasema mkeo hakupendi/hana hisia na wewe

Manake mdomo unaonuka pombe haufai hata kupiga busu kavu (french kiss)
😅😅 wanawake hawapendi sana hii issue ya scrub, wanajua saloon wanachofanya. Scrub nilikuwa nafanyka nje ya mkoa ila within ambapo tulikuwa twaishi wote marufuku
 
Ccm oyeee!!!!!!!

Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.

Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula muziki taratibu huku nashushia na viporo vyangu vya nyagi zilizobaki nikasikia wife akiwa anaongea na dada wa kazi akisema kuwa "Jamani ndani kwangu sitaki watu walevi mimi".

Ikumbukwe hapa kwangu mpiga vyupa ni mimi tu, sasa hilo dongo ni direct lilitupwa kwangu.

Je wakuu huyu mwanamke ni anataka kunipanda kichwani au mdomo tu umemteleza?
😀😀😀 ila ndoa. Kwamba ameshindwa kukuambia hadi aanze kujiongelesha ili ujumbe ufike. Na wewe umeshindwa ku deal na kauli hii hadi uje hapa kuomba ushauri. Ni kama mnaogopana hivi😂😂😂
 
Mimi pia naangaliziga mpira nyumbani
Hiyo imekaa vyema, hii itasaidia kupata muda wa kukaa na Watoto weekend

Mnafanya homework na Watoto kisha saa 10 mnakaa sebuleni mnaangalia mpira pamoja

Kabla hamjaenda Kulala saa 3/4 usiku, unawapa zamu watoto wako ya kuomba (Utasikia Prayer for sleep.....)
 
😅😅 wanawake hawapendi sana hii issue ya scrub, wanajua saloon wanachofanya. Scrub nilikuwa nafanyka nje ya mkoa ila within ambapo tulikuwa twaishi wote marufuku
Wanajua Wanawake wa Saloon walivyo wajanja kucheza na fursa

Hawachelewi kupeana namba kisha kugeuka mchepuko 🙌
 
Piga kinywaji home tu,wife wangu wa mwisho alikua anaweka stock ya wiki nzima.
Sasa hapo niseme natoka kwenda wapi?
Tatizo likawa kuleta mzozo huku wote tuko mbwiii.
Hapo niliikua napiga km niko bar vile.
Yaani anakua tena muhanga.
Kesho akiulizwa atajibiwa kirahisi tu.
"Pombe zile hatukunywa chai"
Anapoa
Wikiend inayofuata mwendo uleule,
Akianza mdomo ni kutandikwa tu.
Mpaka mwenyewe aliomba poo.
Nikaondoka mazima.
Mpaka kesho huwa anauliza we mshenzi uko wapi?
Njoo tunywe nakumic sana
 
😅😅 Hana mpenzi hadi aku mic..
Kamfumo kako kalikuwa kazuri
 
Ccm oyeee!!!!!!!

Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.

Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula muziki taratibu huku nashushia na viporo vyangu vya nyagi zilizobaki nikasikia wife akiwa anaongea na dada wa kazi akisema kuwa "Jamani ndani kwangu sitaki watu walevi mimi".

Ikumbukwe hapa kwangu mpiga vyupa ni mimi tu, sasa hilo dongo ni direct lilitupwa kwangu.

Je wakuu huyu mwanamke ni anataka kunipanda kichwani au mdomo tu umemteleza?
Mwenye nyumba kasema,
Pole kwa kuchelewa kujua kuwa wewe ni mpangaji!
.......tukiwezeshwa tunaweza!!
 
Siku ingine na wife Christmass na ndugu kibao wamejaa upande wake na wangu.
Aisee mi niko busy na Story huku nikala mbata whaaa👋.
Bila sababu.
Dah nikatafakari nikaona huyu ngoja.
Aisee kuamka nilitwanga yule mwanamke kakaake mkubwa ndo alikuja kuamulia.
Alikua na busara sana.
Aliona nilivyopigwa kibao mwanzo.
Hawa wake zetu sa ingine wana maajabu sana.
 
Hapo kaona unajisaidia kwenye nguo unampa shida ya kufua mitakataka yako chapombe..!!
 
Siku ingine na wife Christmass na ndugu kibao wamejaa upande wake na wangu.
Aisee mi niko busy na Story huku nikala mbata whaaa👋.
Bila sababu.
Dah nikatafakari nikaona huyu ngoja.
Aisee kuamka nilitwanga yule mwanamke kakaake mkubwa ndo alikuja kuamulia.
Alikua na busara sana.
Aliona nilivyopigwa kibao mwanzo.
Hawa wake zetu sa ingine wana maajabu sana.
Mwanaume mpk unapigwa mbata na mkeo utakua na shida kubwa 😹😹😹

Mimi nilimzabua kofi bwanaangu nikataka kukimbia akanidaka nilihisi leo nafwaa 🤣!
Alininyanyua juu juu akanitupa kwa bed wallahi nilikoma..!! Nilisuguliwa hadi Ancestors wa kwetu walikubali show 😹😹
Hiyo performance yake siku hiyo yeye mwenyewe hakuwahi kuivunja mpaka leo 😻😻
 
Ni sawa kabisa muamuzi alitufungia chumbani toka hapo alibagazwa kisawasawa😁😆.
Nafkiri tulitoka mle baada ya wiki.
Nakumbuka alikua anamlilia mamaake mda wote kwamba anamtesa kumpa tobo😅😅😅.
Na hizo kelele za raha ilikua kama msiba👌
 
Ukisema usikulize hoja za watu humu wengi watavunja mahusiano Yao kama unaakili timamu mazur beba mengine piga chini usijevunja ndoa yako kisa mawazo ya watu humu hujui watu wanaishije na wake zao humu ila mtu akitoa matatizo yake ndo sehem ya kupondea zaid Sasa akili Kwa kichwa
Pombe inarudisha nyuma maendeleo pombe inapoteza maisha ya wengi haswa wanaume ajali barabaran mke anabaki mjane ndoa ni makubaliano ni masikilizano mkeo hatumii pombe kwanin umpumulie haruf yako mdomoni? Kama kitu mtu hakipend usifanye sababu una mabavu ya kumfokea
 
Huyu mkeo umemzoesha vibaya na anaonekana ame control family, kuna jamaa yangu kampa sana uhuru mke wake mfupi kuongea anachojisikia na kuvaa anavyojisikia,kuna siku tulienda mahali mke wake akawa maevaa gauni fupi nikaona chupi nyeupe kwa ndani,jamaa alivyoenda kupokea simu pembeni nikampa simu mke wake kaniandikia namba na nikaanza kumsifia na kumuomba **** pale pale akaniahidi atanipa kesho yake na atajitahidi jamaa asimtombe usiku huo,namtomba mpaka leo na jamaa yupo yupo tu, mke anamuomba ruhusa za kipumbavu jamaa anamruhusu nnaenda kumlomba,Kataeni ndoa wakuu
 
Back
Top Bottom