Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

Unatombewa na asiekunywa pombe, wanawake kuwaelewa hasa maneno yao unahitaj PhD ya psychology ukiwa mjinga mjinga utabuluzwa

Hapo anahalalisha anachokifanya ili siku likibumbuluka anakua anamashaidi kama ni chapombe sugu na umpelekea fanya itakavyo

Hayo maneno atayasema Kwa mchungaj au kikao Cha familia kama utetez wake
Upo sahihi kabisa mkuu,

Nilitaka kusema hili jambo.
 
Aisee hakuna kitu chenye harufu mbaya kama pumnzi ama mdomo wa mtu aliyelewa. Naungana na huyo mwanamke
Sio Kila pombe inanuka mzee rudi shule kafanye study..

Smirnoff ice inanukaje? Vivyo hivyo hata KONYAGIIII ukitumia na Tonic water water Haina HARUFU

Ngano / bia ndio zina harufu mfano safari, Serengeti lager e.t.c ila ukitumia baadhi ya vikata harufu kama ndizi na pk e.t.c hazina harufu..

Mimi nakunywaga ila wife Huwa hajui..akijua huwaga ni UGOMVII USIO na MWISHO
 
IMG-20250928-WA0004.jpg
poleni sana
 
Ccm oyeee!!!!!!!

Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.

Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula muziki taratibu huku nashushia na viporo vyangu vya nyagi zilizobaki nikasikia wife akiwa anaongea na dada wa kazi akisema kuwa "Jamani ndani kwangu sitaki watu walevi mimi".

Ikumbukwe hapa kwangu mpiga vyupa ni mimi tu, sasa hilo dongo ni direct lilitupwa kwangu.

Je wakuu huyu mwanamke ni anataka kunipanda kichwani au mdomo tu umemteleza?
Maana yake ni kuwa kituo kinachofuata ni vitasa
 
Na bado mpaka Sasa upo ndani kwake?
 
Inaonekana hamkujuana muda mrefu na huyo mkeo kabla hamjaenda madhabauni kwaajili ya kiapo cha Ndoa

Ila ukiweza epuka kufanya mambo yatakayofanya kuondoka Kwa amani nyumbani kwenu

Mkeo hapendi ulevi, then acha
Huu ushauri kwa hawa vijana wa leo ni kazi bure tu mkuu,

Kuacha pombe kisa mke hapendi,hua wanaona ni kama vile kutawaliwa na Mke,

Comments za juu zinathibitisha hili,ila wao wanataka wasichokipenda wao ambacho kinafanywa na Mke,basi
Mke ndio anatakiwa akiache,

Wanachukulia kua huo ndio uanaume au ndio kua na mamlaka,

Maisha yalishabadilika,ndoa ni masikilizano na sio udikteta wa mmoja kujiona yeye ni bora zaidi kuliko mwenzake.
 
Sio Kila pombe inanuka mzee rudi shule kafanye study..

Smirnoff ice inanukaje? Vivyo hivyo hata KONYAGIIII ukitumia na Tonic water water Haina HARUFU

Ngano / bia ndio zina harufu mfano safari, Serengeti lager e.t.c ila ukitumia baadhi ya vikata harufu kama ndizi na pk e.t.c hazina harufu..

Mimi nakunywaga ila wife Huwa hajui..akijua huwaga ni UGOMVII USIO na MWISHO
Tungi la kujiibia ni tamu saana
 
Huu ushauri kwa hawa vijana wa leo ni kazi bure tu mkuu,

Kuacha pombe kisa mke hapendi,hua wanaona ni kama vile kutawaliwa na Mke,

Comments za juu zinathibitisha hili,ila wao wanataka wasichokipenda wao ambacho kinafanywa na Mke,basi
Mke ndio anatakiwa akiache,

Wanachukulia kua huo ndio uanaume au ndio kua na mamlaka,

Maisha yalishabadilika,ndoa ni masikilizano na sio udikteta wa mmoja kujiona yeye ni bora zaidi kuliko mwenzake.
Umesema sahihi Mkuu

Binafsi yapo mengi ambayo Mke alikuwa hayataki nami nimeyaacha kabisa

Mfano alikuwa hataki niende kuangalia mpira baa ama kwenye mabanda umiza

Then nikafunga DStv na Azam Tv, ikitokea mechi ya mpira, then naangalizia nyumbani

Japo mwanzoni nilikuwa naona haunogi, baadaye nikazoea tu

Saivi hata awe amesafiri Mkoani, atanikuta nipo zangu home naangalia mechi zangu

Hataki nikienda Saloon wanifanyie scrub, badala yake amenunua mwenyewe vifaa vya scrub ananifanyia nyumbani 🤗

Kama ulivyosema, Ndoa ni masikilizano ya pande mbili

Kwanini upoteze amani ya nyumba yako Kwa kufanya mambo ambayo mwenza wako hayataki

Mkeo amesema hataki unywe pombe, then wewe unakunywa

Akikataa kukubusu ama akakataa kukupa mate, utasema mkeo hakupendi/hana hisia na wewe

Manake mdomo unaonuka pombe haufai hata kupiga busu kavu (french kiss)
 
Ccm oyeee!!!!!!!

Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.

Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula muziki taratibu huku nashushia na viporo vyangu vya nyagi zilizobaki nikasikia wife akiwa anaongea na dada wa kazi akisema kuwa "Jamani ndani kwangu sitaki watu walevi mimi".

Ikumbukwe hapa kwangu mpiga vyupa ni mimi tu, sasa hilo dongo ni direct lilitupwa kwangu.

Je wakuu huyu mwanamke ni anataka kunipanda kichwani au mdomo tu umemteleza?
Mambo ya ndoa ni hayo mkuu. Ndoa ni agreement na kuheshimiana. Alichoaema angalie namna ya ku handle kwa hekima
 
Umesema sahihi Mkuu

Binafsi yapo mengi ambayo Mke alikuwa hayataki nami nimeyaacha kabisa

Mfano alikuwa hataki niende kuangalia mpira baa ama kwenye mabanda umiza

Then nikafunga DStv na Azam Tv, ikitokea mechi ya mpira, then naangalizia nyumbani

Japo mwanzoni nilikuwa naona haunogi, baadaye nikazoea tu

Saivi hata awe amesafiri Mkoani, atanikuta nipo zangu home naangalia mechi zangu

Hataki nikienda Saloon wanifanyie scrub, badala yake amenunua mwenyewe vifaa vya scrub ananifanyia nyumbani 🤗

Kama ulivyosema, Ndoa ni masikilizano ya pande mbili

Kwanini upoteze amani ya nyumba yako Kwa kufanya mambo ambayo mwenza wako hayataki

Mkeo amesema hataki unywe pombe, then wewe unakunywa

Akikataa kukubusu ama akakataa kukupa mate, utasema mkeo hakupendi/hana hisia na wewe

Manake mdomo unaonuka pombe haufai hata kupiga busu kavu (french kiss)
Mimi pia naangaliziga mpira nyumbani
 
Back
Top Bottom