Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

Mwanaume mpk unapigwa mbata na mkeo utakua na shida kubwa 😹😹😹

Mimi nilimzabua kofi bwanaangu nikataka kukimbia akanidaka nilihisi leo nafwaa 🤣!
Alininyanyua juu juu akanitupa kwa bed wallahi nilikoma..!! Nilisuguliwa hadi Ancestors wa kwetu walikubali show 😹😹
Hiyo performance yake siku hiyo yeye mwenyewe hakuwahi kuivunja mpaka leo 😻😻
Alikupiga miti?
 
Back
Top Bottom