Jina la wimbo huu wa Enrique Iglesias lina maanisha nini?

Jina la wimbo huu wa Enrique Iglesias lina maanisha nini?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
GT
Naomba mnijuze huu wimbo una maana gani?
Unaitwa 'Velvet Horizons'
Ni wimbo mzuri sana umetoka mwaka huu 2025 naupenda ila nimeshindwa kujua maana yake,kila nikisoma maana ya maneno hayo mawili niunganishe sipati maana halisi.
Pia nimejaribu kutafuta Lyrics zake sizipati,kama unajua mahali naweza kupata nisaidie

Naombeni majibu.

Asante.


View: https://youtu.be/jHQwdJERK5k?si=IOq-b65bpVOXb4dl
 
Ni wimbo mzuri sana . Nimejaribu tu kuelewa ki Spanish nakijua kwa mbali . Maana yake ni Uwepo wa ukaribu
Ni mzuri,ila hilo hayo ni maneno ya kiingereza tu na hata humo kaimba kiingereza ila labda lafudhi ya Kihispania ndio maan kina maneno hayaeleweki
 
Wajuzi hebu jipimeni kiingereza wekeni Lyrics hasa kuanzia dakika ya 4:20 hapo tuone
 
Great thinkers hebu jipimeni kiingereza wekeni Lyrics hasa kuanzia dakika ya 4:20 hapo tuone
 
Huna uhakika hii ni nyimbo ya Enrique au Ai made
 
Back
Top Bottom