Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Habari za sasa hivi wakuu??
Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji.
Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara.
Barabara tunaipenda ila ni walipe...
Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa.
Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Kwa kweli...
Mimi ni Mkristo. Niaminivyo, chanzo cha ndoto inaweza ikawa:
1. Ujumbe kutoka kwa Mungu
2. Kazi ya Shetani kwa lengo la kuharibu
3. Uchovu wa mwili na aina ya mawazo uliyokuwa ukiyawaza kabla ya kulala.
Hivi karibuni, nimeota ndoto ambayo mpaka sasa bado sijapata tafsiri yake.
Niliota...
Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo.
Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto.
1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako.
2. DAMU:Kuota/kuona damu...
Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye.
Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana.
Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana
Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana
Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?
Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia.
Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza...
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua akiwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari bingwa
"Anaendelea kupatiwa matibabu na baadhi ya wakati anakuwa na uangalizi wa karibu sana wa madaktari...
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..
Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
Wasalaam Tanzania.
Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.
Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k
Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan , kumteua Mheshimiwa Paul Christian Makonda kuwa katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa...
Wakuu habari za asubuhi?
Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye.
Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana
Tuntufye ni - tumsifu😀
Gwamaka- mwenye nguvu
Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue.
Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao.
Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya.
On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni...
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu.
Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.