Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
Asalaam Aleykum.
Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF;
1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
Kuna shule nyingi zime simama shule kama
Tusiime
Zhabika
St Ane Maria
Fortune
Sahara
Abc school
FOUNTAIN GATE ACADEMY
GREENHILL PRIMARY SCHOOL
MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY
STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL - PS0202113
Ziko fire kwanini hawa Ask school wasumbue hivi??
Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa.
Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani..
Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki.
Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua...
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo
Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?
Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.
Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
Neno la Mungu linasema kuwa tusishindwe na shetani kwa kuwa mbinu zake shetani, tunazijua.
Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
2 Kor 2:11 SUV
Ni kweli kuwa kila mara mtu anapotaka kufanya dhambi, hujua kabisa kuwa hii niifanyayo ni dhambi na huridhia...
Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa).
Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu.
Nimeweza tofautiana na watu...
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini.
Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye...
Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue!
1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness
2. Mnaficha ugonjwa
Yatajulikana maana huko...
Hamna kinaacho achwa, Gaza itakua shamba....
The IDF says troops of the Combat Engineering Corps’ 749th Reserve Battalion destroyed buildings containing Hamas infrastructure at Gaza City’s Al-Azhar University.
According to the IDF, on the university campus, troops found a tunnel entrance that...
Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.
Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.