Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ?
Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ?
Binafsi nakumbuka nilisoma...
Mpo salama!
Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia
CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa.
CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili maana wanaona kama timu yao inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa mbinde, wakati wananchi wanatoa...
This vision I got this morning at seven o'clock.
Nilikuwa katika ndoto.
But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation.
And then I disengaged from the body and I started drifting in space propelled by some Force.
I was just watching to see where I would be sent.
Nikaenda juu...
Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa!
Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu!
=========================
“Kwa upande wa kero za Muungano, hakuna hata kero moja ya maana iliyotatuliwa...
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu.
Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu.
Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni...
Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao.
Kunambia...
Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia
Mpo salama!
Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.
Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu.
Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa.
Hakukuwa na Mchungaji siku hiyo wala shehe.
Hakukuwa na Baba wala Mama
Hakukuwa na Serikali
Hakukuwa na marafiki.
Hawa wote...
Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo;
Afghanistan hadi Angola
Afghanistan...
1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu?
2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura?
2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.