maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania bado hawajui maana ya demokrasia wanatakiwa waelimishwe

    Mimi nilijua demokrasia ni nini baada ya miaka fulani ya nyuma sana kufuatilia primaries za both republican and democratic Kwanza unajiuliza hawa wote wanatoka chama kimoja kwanini wanapondana hivi hadi mambo ya kifamilia, it very nasty lakin wao wanaona ni kawaida na wanaita democrasia na...
  2. Lisu wa CHADEMA atasababisha atokee Lisu mwingine wa CCM. Ndio maana tunahitaji Lisu awe Mwenyekiti.

    LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasosholojia, na kama haitoshi Majasusi wa kuzaliwa. Tunajua kuna kanuni za vita, mapambano na...
  3. Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  4. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  5. R

    Maana halisi ya Uchawa/Upambe: ni derogatory term, ni matusi makubwa ya nafsi ya mtu/utu wa mtu

    definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
  6. Mbinu ipi inafaa kuwafunga vilabu vya kiarabu vinavyopoteza mda?

    Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda kuanzia kipindi cha kwanza ni ujinga, waarabu wanapenda kujiangusha angusha hata kama...
  7. L

    Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja...
  8. Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  9. E

    Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

    Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga. Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
  10. Tanzania kuendelea na Adan maana yake tumezidiwa na rushwa

    Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo wenye mamlaka ya maamuzi. Mwisho wa siku mwananchi wa kawaida ndiyr mbeba zigo kulipia hasara...
  11. Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

    Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba. Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama ikiwemo kulipa kuvunja mkataba wa foreigner. Sawa mwenda hamumtaki Nashon hamumtaki Lawi...
  12. Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

    Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum. Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”...
  13. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  14. Maneno mapya ya msimu na maana zake

    Mchongo...... Koneksheni..... Kumsagia kunguni...... Upwiru... Mduwanzi...... Kudanga.... Msambwanda...... Kubeti...... Kwa Mpalange.... Papuchi....... Mshua..... Bi Mkubwa...... Mdingi.... Msh'hangazi... Kumwagilia moyo... Moja haikai.mbili haikai,,, Kupiga tagi... Kupiga selfiii..... ONGEZEA...
  15. Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  16. Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  17. S

    Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

    fahamuni jamani kuna watoto wanazaliwa mimi binafsi nimewapa jina la chinja chinja, watoto hawa kwanza sifa yao akizaliwa tu huwa anamuua yule mtu ambaye ndiye angekuwa tegemezi lake hapa duniani kama familia inamtegemea baba basi ni wazi ataondoka yeye, au anapozaliwa tu ana muua mama yake...
  18. Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

    Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji. Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango...
  19. Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

    Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba. Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…