Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema watafanya mikutano kila Wilaya nchi nzima na kama serikali isipowasikiliza wataitisha maandamano nchi nzima na watakiwasha sana siku hiyo.
Tulisema no reforms na tulisimama hapo na sasa hivi tunawaambia tunataka katiba mpya, tunataka katiba mpya. Tunazunguka...
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa...
Maeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.
Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu.
Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.