Tarehe ya kupiga kura CHADEMA watangaze iwe siku ya maandano nchi nzima

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,539
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
 
Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu

Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura

Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu

Hiyohiyo katiba haijaeleza na kukataza kuandamana siku ya kutupia vikaratasi kwenye vibubu.
 
Aitosaidia mkuu Chadema imejitoa kwenye uchaguzi wenyewe

Soon utasikia wanachama kibao wa chadema wakikiacha chama hicho na kwenda kugombea nafasi mbali mbali

Chadema itabaki kikundi cha harakati tu na ubaya wa harakati uwezi endesha harakati huna fedha

Mnajidanganya maana now Ruzuku zipo ila ngoja ikome mtaona vituko .

Utafiti wa haraka 70% ya wanasiasa wa Chadema wanataka uchaguzi ila Viongozi wapya wamekataa

Zitto naona akichekelea tu na marafiki zake wengi wakimfwata ACT
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Hii itakuwa ni siku nzuri sana. Tena watangaze uwepo wa maandamano ya amani. Kwa vyovyote vile Policcm watalazimika kujazana barabarani na pia kuzuia watu kukusanyika.
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga k

Hiyo ndo itawafanya CHADEMA mshike dola?
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Siku ya uchaguzi, CCM huwaga serious sana na huwa tayari kwa lolote

Kwa mtu asiyetaka mambo mengi siku hiyo ni ya kutulia kwake na familia

Ila ukitaka kuvunjwa miguu au kuuliwa basi jichanganye.

NB
Usidhani polisi watakuwa wachache, Huwa wanachukuliwa hadi wale waliokuwa mafunzoni
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Wiki Moja au siku kadhaa kabla ya uchaguzi, wanajeshi hupitishwa mitaani wamejaa kwenye IVECO zao

Mtanzania akiona bakabaka huwezi mleta barabarani
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Kisutu mmeshindwa kwenda, ndo muandamane Tanzania nzima? Mitandaoni sawa mtaandamana.
 
Kwa hiyo unataka hiyo siku polisi wapige vitu viwili yaani kura na waandamanaji wa CHADEMA🐼
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Good thinking
 
We ni sawa na mtu aliyeko kuzimu hujui yanayoendelea duniani
 
Aitosaidia mkuu Chadema imejitoa kwenye uchaguzi wenyewe

Soon utasikia wanachama kibao wa chadema wakikiacha chama hicho na kwenda kugombea nafasi mbali mbali

Chadema itabaki kikundi cha harakati tu na ubaya wa harakati uwezi endesha harakati huna fedha

Mnajidanganya maana now Ruzuku zipo ila ngoja ikome mtaona vituko .

Utafiti wa haraka 70% ya wanasiasa wa Chadema wanataka uchaguzi ila Viongozi wapya wamekataa

Zitto naona akichekelea tu na marafiki zake wengi wakimfwata ACT
Acha achekelee bwana Zittu maana anafahamu yupo kwenye igizo
 
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.

Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Dah... Umetoa password mapema sana😀
 
Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu

Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura

Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu

Mkuu hawatazuia mtu kwenda kupiga kura. Ila wataandamana kwa amani.

Hapo ndo Polisi watajikuta wanazuia waapiga kura wao, kwa kupiga mabomu hovyo
 
Daah yani kwa mbinu hyo ndo mtaingia madarakani? Hamjui ndo mnapoteza wingi wa kura chadema?.

Mjue humu jf kuna watu wakubwa wa sisiem mmeshawapa alert tiari wazid kujipanga kivovote vile wale kijanijeshi.

Kapige kura acha porojo
 
Mkuu hawatazuia mtu kwenda kupiga kura. Ila wataandamana kwa amani.

Hapo ndo Polisi watajikuta wanazuia waapiga kura wao, kwa kupiga mabomu hovyo
Siku ya uchaguzi mkuu ni siku ya tukio moja tu..watu hata kazini hawaendi ni kupiga kura tu .Hayo maandamano labda 8kaandamane porini juko kusiko na binadamu kunakoishi ngedere tu sio barabarani
 
Back
Top Bottom