baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Jichanganye mlaaaa uwepo kwenye maandamano hayo!
Katika jambo ccm wanaogopa ni wananchi wasiende kupiga kura mana watokosa uhalalali wa kuongoza nchi ndio mana nguvu kubwa sana inawekezwa kupinga ajenda ya no reform no electionTukio siku ya kura ni kupiga kura tu
Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura
Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Sasa hapo ndio itakuwa vurugu. Hakuna marekebisho, kila mtu akae kwake au aendelee na shughuli zake. Maandamano ya nini?!Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Utajua siku hiyo ikifikaHiyohiyo katiba haijaeleza na kukataza kuandamana siku ya kutupia vikaratasi kwenye vibubu.
Kampeni za vyama vya siasa vilivyokubali kushiriki uchaguzi ndivyo pekee vinaruhusiwa kufanya siasa hadi uchaguzi mkuu .Ratiba nchi nzima hutolewa na kukabidhiwa vyama shirikiMaandamano yanaweza kuwa siku kadhaa kabla ya uchaguz
ambayo yanaweza kudumu hadi siku ya uchaguzi
Ukibaki nyumbani kura utapigaje?Siku ya uchaguzi, CCM huwaga serious sana na huwa tayari kwa lolote
Kwa mtu asiyetaka mambo mengi siku hiyo ni ya kutulia kwake na familia
Ila ukitaka kuvunjwa miguu au kuuliwa basi jichanganye.
NB
Usidhani polisi watakuwa wachache, Huwa wanachukuliwa hadi wale waliokuwa mafunzoni
Watajuaje wapiga kura na waandamanajiSiku ya uchaguzi, CCM huwaga serious sana na huwa tayari kwa lolote
Kwa mtu asiyetaka mambo mengi siku hiyo ni ya kutulia kwake na familia
Ila ukitaka kuvunjwa miguu au kuuliwa basi jichanganye.
NB
Usidhani polisi watakuwa wachache, Huwa wanachukuliwa hadi wale waliokuwa mafunzoni