Ivory Coast ilifanya uchaguzi wa urais Oktoba 25,2025, uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu lakini pia kwa hofu kutokana na misukosuko ya kisiasa iliyoikumba nchi hiyo wiki kadhaa kabla ya kupiga kura. Uchaguzi huu ulikuwa wa kumchagua rais wa Jamhuri ya Ivory Coast, nafasi ya juu kabisa ya...
Serikali ya Ivory Coast imepiga marufuku mikutano na maandamano ya umma yanayolenga kupinga kuondolewa kwa viongozi wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Hatua hiyo imekuja baada ya Baraza la Katiba kutangaza orodha ya mwisho ya wagombea waliokubalika...