Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, akihojiwa Kupitia Wasafi FM, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini waliohusika.
"Mimi ninachotambua, ninachojua ni kwamba uchunguzi seriously unaendelea, kubaini ni...