maandamano saba saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano hayapaswi kutokea, mauaji ya Oktoba 29 hayapaswi kujirudia tena, tuna hali mbaya kiuchumi! Suluhusho? Kutumia vitisho!

    Maandamano yakitokea ina maana rasilimali nyingi zitatumika kuwaamnisha hasa WHO ARE YOU kuwa mambo yapo shwari, wananchi wanampenda Rais wao mpaka wanabujijikwa machozi ya maziwa na asali. Kwa upande mwingine hali yetu kiuchumi ni mbaya, hivyo hilo halipaswi kutokea! Mauji ya Oktoba 29...
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita "Mbwa Mwitu". Ukiandamana Sabasaba wanapita na maini yako

    Sheikh Mwaipopo akiwa amezungukwa na baadhi ya vijana hao,anasema kuwa kikosi chao tayari kimesambazwa na kushika hatamu katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Musoma (Mkoa wa Mara), na Kilimanjaro Anasema lengo kuu, kwa mujibu wa kiongozi huyo, ni kukabiliana...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana, tutakayemkamata tutamtahiri bila ganzi

    Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…