Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam.
"Na mkakati wao tumeshaujua kwamba safari hii wanaanza kuchoma shule ili walete mtafaruku mkubwa, vituo vya polisi, hospitali, vitupo vya afya, sasa watu wa aina hii tukimpata mmoja huyo ndiye tutamtahiri bila ganzi nasema wazi kabisa wala hatufichi" amesema Sheikh Mwaipopo