Wahuni tu,sisi wanyakyusa na uislamu wapi na wapi ? Hyu njaa inasumbua. Tuu 😁😁 wasiwasi wangu alioa binti wa kiislamu wazazi wa binti wakalazimisha abadili diniMwaipopo muislam??? Amenikumbusha shehe mkuu wa wilaya ya Kyela miaka hiyo shehe Mwakiposa. Nchi hii vituko sana.
Tena katahiriwa hospitali baada ya kujifanya shehe, pumbavu zake. Angekuwa jasiri angetahiriwa jandoni.Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam.
"Na mkakati wao tumeshaujua kwamba safari hii wanaanza kuchoma shule ili walete mtafaruku mkubwa, vituo vya polisi, hospitali, vitupo vya afya, sasa watu wa aina hii tukimpata mmoja huyo ndiye tutamtahiri bila ganzi nasema wazi kabisa wala hatufichi" amesema Sheikh Mwaipopo
Baada ya kusilimu ndio katahiriwa? Huyu shehe inaonekana anatumia mdomo wake kujaza tumbo lake. Maana kila mgogoro yeye hutafuta upande mmoja ajiegemeze. Nakumbuka mgogoro wa aliekuwa sheikh wa mkoa na dkt MwakaMwaipopo asitake tumuanike, yeye wenyewe alitahiriwa uzeeni, shuleni alikuwa anaoga kwa kificho
Hana uwezo wa kutahiri yeyote
Na akileta ujinga tutaanika kila kitu, Liwalo na liwe
Anahisi uongozi wa Samia ni sababu ya Waislam. Wanahisi ni Serilali ya kiislam..Sheikh Said Mwaipopo
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam.
"Na mkakati wao tumeshaujua kwamba safari hii wanaanza kuchoma shule ili walete mtafaruku mkubwa, vituo vya polisi, hospitali, vitupo vya afya, sasa watu wa aina hii tukimpata mmoja huyo ndiye tutamtahiri bila ganzi nasema wazi kabisa wala hatufichi" amesema Sheikh Mwaipopo
Umenichekesha sana 😅🤣😂 mimi nikiona mtu mnyakyusa ambaye ni muislamu naona may be anatania tu hayupo serious... Mimi kwenye kukua kwangu kote sikujua km uislamu ni dini km ulivyo ukristo... Kwenye kusoma kwangu kote mbeya kuanzia chekechea mpaka form six sikuwahi kusoma na mtu yoyote mnyakyusa ambaye ni muislamu. NImekuja kumwona mnyakyusa muislamu nilivyofika udsm,,, Halafu baade tulivyomaliza chuo nikaja sikia ni Shekhe mkuu mkoa wa Mbeya.Mwaipopo muislam??? Amenikumbusha shehe mkuu wa wilaya ya Kyela miaka hiyo shehe Mwakiposa. Nchi hii vituko sana.
Hivi huyu Mwaipopo ni mnyakyusa mwenzetu au ni muislamu mbona haeleweki?Wahuni tu,sisi wanyakyusa na uislamu wapi na wapi ? Hyu njaa inasumbua. Tuu 😁😁 wasiwasi wangu alioa binti wa kiislamu wazazi wa binti wakalazimisha abadili dini
Polisi huyo hamna sheikh wakujifyatua kichwa kiasi hiki.Nilijua tu wajinga wa namna hii watatumika na policcm kuleta propaganda kuhusu maandamano.
Siku zote tumbo linaponzahga kichwaSheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam.