Maandamano yakitokea ina maana rasilimali nyingi zitatumika kuwaamnisha hasa WHO ARE YOU kuwa mambo yapo shwari, wananchi wanampenda Rais wao mpaka wanabujijikwa machozi ya maziwa na asali. Kwa upande mwingine hali yetu kiuchumi ni mbaya, hivyo hilo halipaswi kutokea!
Mauji ya Oktoba 29...
Dar es Salaam - 5 July 2026
In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema hatua ya Waziri mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani Patrobas Katambi kutoa amri kwa Polisi kutokutoa kibali...
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amesema vikosi vya Ulinzi na Usalama wilayani humo vimejipanga kudhibiti maandamano yanayotajwa kuratibiwa kufanyika tarehe 7 mwezi Julai (SABASABA).
DC Magoti amesema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge katika baraza maalum la Madiwani...
✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee .
Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya sintofahamu ili kutekeleza uhalifu wao.
Hawa hawana ajenda ya kujenga Taifa wala kutetea maslahi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.