Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amesema vikosi vya Ulinzi na Usalama wilayani humo vimejipanga kudhibiti maandamano yanayotajwa kuratibiwa kufanyika tarehe 7 mwezi Julai (SABASABA).
DC Magoti amesema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge katika baraza maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kujadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025