Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka

Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi.

Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema hatua ya Waziri mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani Patrobas Katambi kutoa amri kwa Polisi kutokutoa kibali cha mikutano ya hadhara ya kisiasa ni makosa kwa mjibu wa Katiba ya Tanzania.


​
Soma:
 
Back
Top Bottom