maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Pre GE2025 Kwa kauli ya DC Mbeya, maandamano ya CHADEMA yanafanyika sababu Rais Samia ameruhusu na sio kwa sababu ya Katiba

    Mara nyingine nikiwaza mambo yanavyofanyika hapa Tanzaniia, naona kama tumekuwa jumuiya fulani katika uwanja wa fujo. Tunaishi kwa matamko ya Raisi, mawaziri, wakuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na mara nyingine katibu mwenezi wa CCM! Hivi hakuna watu wenye akili nchini, na hasa viongozi, wakaona...
  2. Tate Mkuu

    Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

    Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live...
  3. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  4. R

    Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

    Salaam, Shalom! Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu. Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini, Dar es Salaam na Mwanza, maandamano hayo yameendelea kupata mwitikio mkubwa wa wananchi, hayo yametokea kiongozi wetu ,Mkuu wa Nchi akiwa nje ya Nchi ziarani. Je ni...
  5. Erythrocyte

    Tunduma: Sugu afagia uwanja kabla ya maandamano ya Amani 20 Feb 2024

    Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
  6. Idugunde

    Pre GE2025 Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA...
  7. Erythrocyte

    Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi. Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja, ukisimama miguu miwili...
  8. D

    Pre GE2025 Kusimamisha maandamano ya tarehe 15 Februari ni udhaifu mkubwa

    Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa. Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia amewahi kuwa mgombea Urais wa chama hicho hivyo watakuwa wanadhulumu haki yake ya kuombolezewa...
  9. Erythrocyte

    Pre GE2025 Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani kupinga ugumu wa maisha, miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika. Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza...
  10. J

    Pre GE2025 KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, waomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM. Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk...
  11. comte

    Maandamano ya amani! takwimu zinaonyesha yaweza kuishia kwenye machafuko

    Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
  12. Erythrocyte

    Pre GE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
  13. R

    Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  14. Msanii

    Pre GE2025 CHADEMA na tamko la maandamano ya amani

    Mbowe amezungumza......
  15. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  16. Mdude_Nyagali

    Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  17. P

    Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

    Wakuu, Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Kulinda Haki za Kikatiba: Jukumu la Serikali katika Kuwalinda Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani

    KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha demokrasia inazingatiwa katika nchi yetu. Uhuru wa kujieleza na kuandamana ni...
  19. Z

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    Maandamano ya tarehe 20/3 tulishuhudia maduka yakivunjwa na waandamanaji na kupora mali za watu, tumeshuhudia magari yakichomwa moto, matairi yakichomwa barabarani vurugu tupu. Juzi trh 27/3, Tena tumeshuhudia makanisa na misikiti ikichomwa moto na waandamanaji, lakini pia shamba la Rais...
  20. JanguKamaJangu

    Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
Back
Top Bottom