maandamano ya ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. passioner255

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Ufaransa yanaonesha tofauti ya kuongozwa na wahuni na wenye akili

    Maandamano ya ufaransa yanathibitisha kuwa mauaji ya tarehe 29/10/2025 nchini hayana uhalali wowote bali yamethibitisha tunaongozwa na wahuni wasio na huruma na binadamu. Watu wamechoma vitu,wezi wameiba mali lakini hakuna mauaji ya halaiki.pia viongozi wa huko wanajua madhara ya mauaji...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Huko Ufaransa kunafanyika vurugu kubwa sana. Watu wanavunja maduka na kuchoma moto hovyo. Hapa kwetu watu walipigwa risasi kwa kupora simu na chokoleti. Au tatizo ni nini? Watu kuimba wanataka mapinduzi kama ya Madagascar!
Back
Top Bottom