Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea.
Maandamano yalizuka na kuenea kwa haraka wiki iliyopita baada ya agizo la Serikali ya shirikisho la kuvunja Kitengo cha Wanajeshi, Kikosi...
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya...
Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC).
Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa.
Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya.
DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
Mzee RAO anamuangamiza kiuchumi Rais Ruto na makamu wake Gachagua kupitia maandamano.
Meli ya kitalii iitwayo MV Seabourn Sojourn, iliyopo njiani kwenda nchi mbalimbali duniani, ambapo kwa afrika mashariki ilikuwa isimame kwa siku 6 kwenye bandari ya Mombasa, sasa imebadiri uelekeo hadi...
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu.
Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira...
Mwenyekiti wa Jumuiya za Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa ametoa pole kwa waathiriwa nchini Kenya kufuatia madhara yaliyosababishwa na maandamano vikiwemo vifo na uharibifu wa mali nchini humo.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana jijini hapa Sheikh Alhad...
Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita.
Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni:
Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma.
Jambo lolote haliwezi...
Gavana wa kaunti ya Kisumu Professor Anyang' Nyong'o ametangaza kufanya wamuzi wa kusitisha maandamano dhidi ya serikali, na badala yake ametoa rai kwa wananchi wa kaunti hiyo kuungana na wenzao walioko Jiji Kuu la Nairobi.
Kwenye taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Gavana Nyong'o amekiri...
Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi:
Sijui makwetu jikoni au kule...
Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo.
Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye:
Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio.
Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi.
MUHURI imemkumbusha IG...
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia
Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo. Vyombo vya habari vingi Vimenyamanza na Huwasikii kabisa Kuhusu hili tofauti na Yanapo tokea...
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua...
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara.
Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga.
CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao.
Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.