maandamno ya desemba 9

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  2. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taasisi ya mama asemewe: Watanzania wajiepushe na maandamano ya Desemba 9

    Taasisi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake Bw. Geofrey Kiliba imelaani Vikali matukio ya uvunjifu wa amani yaliyofanyika wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, suala ambalo lilivuruga shughuli za kijamii na kusababisha madhara kwa watu na mali...
Back
Top Bottom