Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka
Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu
Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
Hellow!
Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,
Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.
Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni.
Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi…
Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
Maandishi Ukutani
1 Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao. 2 Wakati Belshaza alipokuwa akinywa mvinyo wake, aliamuru viletwe vile vikombe vya dhahabu na fedha ambavyo Nebukadneza baba yake alikuwa amevichukua kutoka hekaluni huko...
Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini?
1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa.
Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika...
Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM?
Ndugu Wananchi,
Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
Hello hello,
Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja?
Nawasilisha.
Shukrani kwa mwitikio wako.
Wadiz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.